Leo Tunazungumzia Tetesi za Kitaa 👉 Kuhusu Aluminium Foil na Internet

Mr.Kambo
By -
0

 

 Internet ikiwa na shida, watu hukimbilia kila mbinu. Moja ya tetesi maarufu mitaani ni kutumia aluminium foil kama booster ya signal za WiFi au MiFi. Swali ni: inafanya kweli, au ni stori za vijiweni tu? Hebu tupige darubini!

Foil kama Reflector ya Signal

Kwanza kabisa, aluminium foil haina bundles ndani yake. Lakini ni conductor mzuri.
Unapoweka foil nyuma ya router/MiFi, inafanya kazi kama kioo cha kurudisha mawimbi upande mmoja. Hii inasaidia signal zisipotee hovyo hovyo, na badala yake zinakusanyika upande unaohitaji.

Ni sawa na dish ya DSTV – unalenga mawimbi upande fulani tu.

Unavyoweza Kutumia Foil Boost WiFi

Hapa ndo trick:

  • Router/MiFi – kata foil, weka nyuma yake kama “dish”. Ita-reflect mawimbi upande ule unataka.
  • Simu – effect yake si kubwa sana, lakini ukijaribu kubuni booster ndogo unaweza kuona tofauti.

    Kumbuka: hii ni kwa wale wanaishi maeneo ambayo signal iko dhaifu upande mmoja wa nyumba.

    Tahadhari Muhimu

    • Usifunge router nzima kwa foil. Ukifanya hivyo utablock signal kabisa, halafu utabaki unashangaa kwa nini hakuna net .
    • Foil si dawa ya kudumu – ni ujanja wa bei rahisi tu.

    NB::

    Kwa kifupi:

    • Aluminium foil = reflector ya mawimbi, si generator ya bundles.
    • Ni “cheap trick” ya kulenga mawimbi upande fulani.
    • Inaweza kusaidia pale ambapo signal iko dhaifu upande mmoja wa nyumba/yard.

      Kwa hivyo, kama unahitaji net ya nguvu kweli, badala ya kutegemea foil, jaribu:

        Kwa Kujifunza Zaidi::

        • How to Boost WiFi Signal with Simple Tricks

        • WiFi Range Extenders on Jumia

        • Scientific Explanation of WiFi Reflection

        RELEVANTS

        • Jinsi ya kuongeza WiFi speed nyumbani
        • Cheap way to boost internet connection
        • Aluminium foil WiFi trick
        • Router signal booster tips 2025
        • ICT hacks kwa vijana

          Hashtags

          #zeLupi #MoneyTips #TechTips #YoungBoldUnstoppable #2025 #ICT #WiFiHacks

          Tags:

          Chapisha Maoni

          0 Maoni

          Chapisha Maoni (0)
          4/related/default