Usichokijua ni kwamba Simu nyingi za mkopo (installment phones) huja na mfumo wa malipo uliowekwa moja kwa moja kwenye device hiyo.
Mfumo huu huzuia baadhi ya matumizi endapo hutalipa ada kwa wakati. Wengi wameniuliza DM: Whatsapp: Nawezaje kuondoa mfumo wa malipo katika simu ya mkopo??

